happy Chupi day!

happy Chupi day!

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,106
Leo ni siku ya uvaaji chupi duniani.
Watu wote wanasherehekea kwa
kutaja rangi za chupi aliyovaa leo.
Je yako ina rangi gani?
1. Ukikaa kimya maana yake leo
hujavaa. 2. Usipojibu kwa maandishi maana
yake umevaa chupi chafu.
3. Ukicheka maana yake utakuwa
umevaa iliyochanika.
4. Ukimwonyesha ujumbe huu aliye
karibu yako maana yake utakuwa umevaa oversize.
Happy Chupi Day…
 
its white! na stripes kwa mbele za pink! yako je?? happy chupi day chit chatters!
 
yangu ni white ina viua vidogo vya pink, stevoh mbna hujataja yako?
happy c.h.u.p.i day!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
mmmh...kuna watu huwa awavai kabisa,siku kama ya leo itumike kuwahamasisha wale wasiopenda kuva pichu,....yaani mimi nashanga inawezekanaje kitumbua kukaa wazi?dah...dunia ina watu kwel..,
 
Me mbona sijavaa jamani au nika nunue sasa hivi?
 
twende kempinski nikuoneshe ya kwangu
 
Leo ni siku ya uvaaji chupi duniani.
Watu wote wanasherehekea kwa
kutaja rangi za chupi aliyovaa leo.
Je yako ina rangi gani?
1. Ukikaa kimya maana yake leo
hujavaa. 2. Usipojibu kwa maandishi maana
yake umevaa chupi chafu.
3. Ukicheka maana yake utakuwa
umevaa iliyochanika.
4. Ukimwonyesha ujumbe huu aliye
karibu yako maana yake utakuwa umevaa oversize.
Happy Chupi Day…

Sijavaa, si unajua msuli kwa kikoi ndo vazi la sunnah mwezi huu, afu msuli na chupi walah...
 
mie sijavaa manake nimechoka kubanwabanwa......na huu utinginya wangu...chupi tabu zanipa tabuuuuuu
:eek2:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom