Interest
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 3,434
- 7,091
Hahaha huyo bazazi awe Pastor?Mbona ni Pastor huku kanisani kwetu siku hizi
Hahaha huyo bazazi awe Pastor?Mbona ni Pastor huku kanisani kwetu siku hizi
AiseeAnasema "mwanaume hachepuki huwa anatoa msaada"
He is real perfect..
Happy birthday shemegiAsprin ni mwanaume perfect, too perfect. Hata kama kuna kufa na kufufuka nitaomba niolewe nae tena.
Merry Christmas 2018Asprin
View attachment 970054
Pamoja nawe dadaMerry Christmas kaka
Wow!!Asprin ni mwanaume perfect, too perfect. Hata kama kuna kufa na kufufuka nitaomba niolewe nae tena.
Merry Christmas 2018Asprin
View attachment 970054
Ewaaa.... ushakuwa mkubwa sasa umeanza kumwelewa babu yakoAnasema "mwanaume hachepuki huwa anatoa msaada"
He is real perfect..
Tutarudi na zawadi yako ya maparachichi na kisusio. Usicheze mbali Kasie Mahaba niueOooh asante Sky and Asprin,
Happy Festive Season to you too.
Peace and Love form Dadii and Kasie.
Ngoja hangover ikate kwanzaHolla,
Nyota ya Jaha na Mahaba yamedondokea pande za milimani....
Babu piga kigelegele cha kichaga basi kuonesha raha ya kupendwa....
Kasie Mahaba.
We jamaa unajitafutia laana wallahHahaha huyo bazazi awe Pastor?
Hicho tu au kuna kingine tena?Nataka na Kisusio cha Mbuzi![]()
Hicho tu BabuHicho tu au kuna kingine tena?
Umepata! Kama kuna kingine lakini unaogopa kukisema hapa, nakusubiria PM. Sawa?Hicho tu Babu