Happy birthday to Paul Makonda

Nitumie fursa hii kukumbusha kuwa cheo ni dhamana na uongozi ni zawadi tu kutoka kwa Mungu.

16711750_1286862651405424_2259622381141612413_n.jpg
 
Kheri ya siku yako ya kuzaliwa Rc dar es salaam
eeecfd36ab2dc9a942d8fb096fc137b6.jpg


Kum wish mtu kheri silazima awe rafiki yako Naona mnatokwa na mapovu

Kum wish Rc makonda is part of life na dresturi zetu wa Tanzania kupendana

Mtoto akinyea mkono haukatwi bali unaoshwa na maisha yanaendelea
 
Happy born day, Mkuu, tunatambua kaz yako, chapaaa kaaazi, watakuja kiyaona matunda baadae
 
Naomba tu siku muhimu kama ya leo nimkumbushe kwamba wanaume hatupakagi poda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom