Lonely heart
Member
- Oct 21, 2011
- 46
- 20
hongera sn mkuu
asante heart....ni furaha kwelikweli..yaani acha kabisa!!Hongera sana bro! hakika ni furaha ilioje.. Amani itawale katika nyumba yenu...Mungu awalinde na kuwaongoza katika kipindi chote cha kumlea 'sijui nini junior'...Once again,Hongera sana!
hahahaa...ucjali...ntakushtua siku ikifika...wewe tena!!hongereni sana jamani 40 unishtue nije kusasambua
thank you sana...salaam zimefika...