Happy birthday to my new baby born!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Wapendwa wana JF, napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha kuwa mke wangu mpnz amejifungua mtoto wa kiume leo alfajiri..hivyo basi naona fahari(najua mwanangu atakuwa ni mwana JF mzuri tu-sijui nini junior.. bila shaka tena kule kwenye science n tech forumz...tehe) na faraja kubwa kuwa baba, am so happy people..soo happy! I love you my wife.. I love you my son.. Mama na mtoto wako poa kabisa..so much Thanks to GOD! Ngoja nilale sasa maana nilikuwa macho ucku kucha kusubiria...thank you.
 
Wow wow hongera sana sana yaani nikisikia m2 kapata baraka ya mtoto nafurahi sana,mumtunze vizuri c watu wote wamepewa nafasi ya kuwa wazazi kwa hyo umebahatika sana,
 
Asanten sana wakuu,ni kweli kabisa hii ni baraka kwetu wote..tunamshukuru sana Mungu..na tunamuomba sana Mungu atusaidie tumtunze vizuri..
 
Hongera Sana Mkuu, uzidishe mapenzi kwa mama na mtoto zile skendo zaki kwenye gazeti la JF idaku itabidi nizipunguze ili nikupe nafasi ya kusherekea new born baby...lol
 
Hongera kwa familia mkuu..ila usisahau kuanza kujipanga sasa kwa ajili ya maisha ya baadaye ya watoto.. Akaunti za benki kwa watoto zipo kibao hata ukiweka shs 5,000 kila mwezi badala ya kununua vocha ya simu ni kumbukumbu tosha kuwa unampenda na kumjali mtoto!
 
Word!!
 
Sijui nini hongera
I can imagine furaha yako
it feels so good to be a parent

Hongera sana kwa mkeo
kwa kuvumilia maumivu
 
baby boy.jpg Hongera sana mkuu!!
 
Hongera sana ila usisahau kumlea katika njia impasayo, njia iliyo sahihi maana siku hizi vitoto vikianza kuongea tu matusi utadhani yanatolewa na kijana aliye katika balehe. Narudia tena hongera kumpata "sijui nini junior".
 
Hongera kwa familia mkuu..ila usisahau kuanza kujipanga sasa kwa ajili ya maisha ya baadaye ya watoto.. Akaunti za benki kwa watoto zipo kibao hata ukiweka shs 5,000 kila mwezi badala ya kununua vocha ya simu ni kumbukumbu tosha kuwa unampenda na kumjali mtoto!
ni kweli mkuu..naahidi ntaufanyia kazi ushauri wako..
 
Wapendwa wana JF, napenda kuchukua fursa hii kuwahabarisha kuwa mke wangu mpnz amejifungua mtoto wa kiume leo alfajiri..hivyo basi naona fahari(najua mwanangu atakuwa ni mwana JF mzuri tu-sijui nini junior.. bila shaka tena kule kwenye science n tech forumz...tehe) na faraja kubwa kuwa baba, am so happy people..soo happy! I love you my wife.. I love you my son.. Mama na mtoto wako poa kabisa..so much Thanks to GOD! Ngoja nilale sasa maana nilikuwa macho ucku kucha kusubiria...thank you.

Hongera sana bro! hakika ni furaha ilioje.. Amani itawale katika nyumba yenu...Mungu awalinde na kuwaongoza katika kipindi chote cha kumlea 'sijui nini junior'...Once again,Hongera sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom