Happy Birthday to mie

Dah....Leo tena....nimegonga umri zaidi ya mara 2 ya umri wa Ushimen ... karibu mara 3 ya umri wa Khantwe.... Bado nasimama wima. Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea kwenye maadili ya kutosema uongo (mshua) na kutokuvaa shati moja siku 2 mfululizo (bimkubwa)....nami napita mulemule....na kufanya maisha yanakuwa rahisi sana.. .nawapenda sana nyie wawili...
Nasubiri jua lipungue nije kuwachukua twende Coco Beach...tukale mishkaki na kucheza kwaito...nawaombea maisha marefu..

Happy birthday Mimi
 
Back
Top Bottom