Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,660
Katika hiyo namna nyingine, utakuwa ulifumba macho then ukaisema kwa vituo vituo 😅Nimejaribu kuiwaza hiyo oooh shit kwa namna nyingine😁
Katika hiyo namna nyingine, utakuwa ulifumba macho then ukaisema kwa vituo vituo 😅Nimejaribu kuiwaza hiyo oooh shit kwa namna nyingine😁
Keki wapi?Ushauri mzuri sana huu
Happy birthday kipenzi uishi maisha marefu dada yangu.Bado sijaelewa unamaanisha nini ndugu
Thank you
Amen na iwe kama unenavyo dear wangu.
Nimekumiss mwee



Acha kuzuga babu ilete hiyo zawadi tafadhaliWakati nakimbia kukuletea Maziwa yako nilijikwaa njiani na kumwaga maziwa yote 🤗
Hata hivyo nimesikia nyie Wapare bora mkose maziwa lakini Msikose Makande
Babu yupo njiani kukuletea Makande yako ili kufurahia Siku yako ya kuzaliwa 😜
Heri ya Siku ya Kuzaliwa Mjukuu
Zawadi yako ya Makande ndiyo ipo Jikoni, Bibi yako ameziunga Nazi.Acha kuzuga babu ilete hiyo zawadi tafadhali
Hivi kumbe mimi ni mpare na sijui!!maskini mie