Happy birthday to me

Happy birthday to me

Ndo nini kutuwekea uzi halafu ukatuacha!!! Yaani unamkaribisha mgeni sebuleni halafu mwenyeji unapotea!!!!
Ni majukumu darling yananibana.wanaume hawataki juma kaseja
 
Birthdays are a new start, a fresh beginning and a time to pursue new endeavors with new goals. Move forward with confidence and courage. You are a very special person. May today and all of your days be amazing!”

Image result for happy birthday wishes
 
We haya lakini sio vizuri kumkaribisha mgeni halafu ukamuacha hapo sebuleni ajihudumie kila kitu,, akibanwa haja inakuwaje sasa!! Ndo kilichotokea hiyo juzi

Asante sana BAK..na tafuta maneno mazuri yakukushukuru lkni nakosa...nimejikuta napata furaha ghafla baada ya kusoma comment yako..

Naogopa kuandika mengi nisijeharibu..
Asante.....😍😍😍😍😍😍😘😘🙏
 
We haya lakini sio vizuri kumkaribisha mgeni halafu ukamuacha hapo sebuleni ajihudumie kila kitu,, akibanwa haja inakuwaje sasa!! Ndo kilichotokea hiyo juzi
Naelewa unachosema kapeace wangu..sikuwa na namna uwiii am sorry sweetie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom