Happy birthday to me

Happy birthday to me

Mtoto wa tabata yule sijui yuko wap

Yule mtoto nilishakusanya notice zangu za kuimbisha, nikafamfanyia research kujua anapenda kusikia nini, sasa ile nataka kuanzisha kampeni akashusha Bomu humu, nikasema nijipe muda (for healing).

Ghafla simpati, ila niko so prepared, akija ni tit for tat.
 
Labda yupo na id nyingine akipita hapa atafanya mpango wakuifufua id yake ya mambembe the queen of nini sijui...
 
Ukiangalia profile last seen ni May 21, ila last post ni Feb.

Angekuwa na ID nyingine ningeijua, maana research niliyofanya imegusa hadi mwandiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom