🎈🎁🥳Kwanza namshukuru sana mwenyezi Mungu kuiona siku ya leo. Happy birthday to me, leo nimetimiza miaka kadhaa duniani hapa.
Nimeingia floor ya tatu na zaidi, sina mengi niliyofanikiwa ila namshukuru Mungu kwa machache niliyo nayo na ninajivunia.
Kama kuna member nashare nae siku ya kuzaliwa leo namuomba Mungu azidi kutuwekea mkono wake tufike miaka mingi zaidi na Happy birthday kwake pia. Intelligent businessman
Huyo utamuweza?Mpaka kifo kitutenganishe
kama intel kawezana nae mi simshindwiHuyo utamuweza?
Umesema sahihi Mzee mwenzangu, uzuri wa sisi Wazee wa Umri huu hatuna haja ya kukamia pambano.😅😅😅😅😅mbio ndefu tuwaachie vijana wenzao, sisi tuwaalike kulamba asali na kuchezea sharubu.
Huyu hatutawezana aisee bora niendelee kumshauri Intelligent businessman abadilike huyo ndio tunawezanaHatasikia kwakuwa nae ni kama kenge mpaka damu zimtoke masikioni, na ili zimtoke masikion n lazima nimpasue kusawa sawa, kaka tutakupa mwingine hata Mpaji Mungu
Huyo mbona n mtu poa sanaHuyu hatutawezana aisee bora niendelee kumshauri Intelligent businessman abadilike huyo ndio tunawezana
Huyo sisteri wakekama intel kawezana nae mi simshindwi
Nipe location nikusurprise😂Asante sana love ubarikiwe ....nitakuja kula keki 😀😀
Kumbe ni dadake Elon MuskHuyo sisteri wake
We sangoma wa kihindi tulia boya wee🤣😂Bora umshauri na alielewe hilo maana huwa ananiona kama mimi dogo mwenzake, akiendelea atapasuka mje mmpost na mishumaa.
Aisee kweli nime amini kila mtu ata changanyikiwa kwa wakati wake 🤣😂kama intel kawezana nae mi simshindwi
Huyo Half american ni haji manara a.k.a nusu albino so. Asi kutishe na mabiti yake😂Bado mdogo sana tena inabidi awe anakupa heshima yako kabisa
We kenge maji Kama vipi tuandae pambano la vitasa ili niku funze adabu mwehu wewe.😂 dogo atajapasuka huyu siku moja ila hajalijua hilo.
Huyu kuna siku alishawahi kuniwashia moto mahali sina hamu nae.....bora kaka yangu Intelligent businessman yupo na mimi kwenye shida na rahaHuyo mbona n mtu poa sana
Amesema tutawasha mishumaa etiHuyo Half american ni haji manara a.k.a nusu albino so. Asi kutishe na mabiti yake😂