Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Baba E, nakuheshimu sana sana tafadhali, usinipeleke huko plz plz wala tusitibuane, nina sababu gani ya kufanya hivyo? nimekosa kazi au? kama wewe una muda wa mchezo huo ni wako plz, wengine hatuna mida michafu.
Happy Birthday Nyamayao....Mungu akujalie FURAHA na USHINDI utimize kusudi la kuishi kwako....
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOL
Kiukweli hebu ongea na Mzee Mwanakijiji atufanye premium Members kwenye ile makitu yake. Hapa hawa watoto, sorry wajukuu hawachelewi kutuchungulia wakati tunanyoa naniliu kwa kisu manake wembe unadunda.....
Happy Birthday sweerieeeee.........
View attachment 70432
Happy Birthday to Their Meat (Nyamayao).. How old are you now?
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOL
Kiukweli hebu ongea na Mzee Mwanakijiji atufanye premium Members kwenye ile makitu yake. Hapa hawa watoto, sorry wajukuu hawachelewi kutuchungulia wakati tunanyoa naniliu kwa kisu manake wembe unadunda.....
hahahaha, nimecheka mpaka nimepaliwa haki ya nani vile, unajua nini DC ndio mana sipendagi kusema umri wangu, labda kwa wanijuao wanaoweza kutabiri/otea huwa wanajaribu hilo, ki ukweli sipendi mtu aseme ni bado mtoto, mmama na watoto kadhaa naitwa mtoto,kingine nikiwaambia watu nina watoto hawaamini,hapo ndio nakasirika zaidi, na kama sio hii nembo hapa kidoleni(ring) nikikutokezea wewe utasema kigori ndio huyu, haahahah naita bado atii.
Nyamayao - Kumbe kuwa na Ma-ID kibao inapendezaga? Naona leo umetoka "Real" - Happy B'day
Baba E, nakuheshimu sana sana tafadhali, usinipeleke huko plz plz wala tusitibuane, nina sababu gani ya kufanya hivyo? nimekosa kazi au? kama wewe una muda wa mchezo huo ni wako plz, wengine hatuna mida michafu.
Yaani kumbe bado ni yule yule Nyamayao - Hata siku ya Birthday unakuwa mkali...? wajameni? dah!!!!
ulikuwa unanifananisha na nani sijui, ndio mana mtoto nikachukia, hahaha pamoja Baba E.
Mkuu umesahau pijo 504 na austin ni misamiati migumu kwao!
yuu.....
Mme: nackia mayowe na shangwe kwa jirani kwan kuna nini?
Mke: wanasherekea birthday
Mume: ya nani?
Mke: ya Tuyu
Mme: Tuyu ndo nani?
Mke: mi cjui ila nackia 2 wanaimba hapy birthday Tuyu
Nyamayao - Kumbe kuwa na Ma-ID kibao inapendezaga? Naona leo umetoka "Real" - Happy B'day
happy birthday to nyamayao, namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima/afya tele mpaka leo hii nagonga miaka kadhaa chini ya hili jua, ups and downs kibao lakini amenipa ujasiri wa kupambana, akiniinua pale nilipojikwakaa na kuanguka na kunipa nguvu za kusonga mbele kwa ujasiri zaidi, my family, musukuma/kids, my lovely mama/sis, na wana JF wote, nawapenda sana sana!...happy birthday to nyamayao jamani....