Happy birthday to me jamani!

Happy birthday Nyamao
Mwenyezi Mungu azidi kukupa hitaji la moyo wako, na akupe maisha marefu yenye baraka na amani tele.
 


Haya bwana Nyamayao...ila kwa maelezo yako...kuna mtu ana kesi ya kujibu...

Hebu basi tusogezee huyo aliyesababisha matatizo at 30-11 (19) ili tuhangaike naye....It was too early kupigwa chini juu pakavimba at that age....!!!

Halafu haya mambo ndiyo kila siku nawashauri wajukuu zangu....Eti binti anakimbilia kuolewa before 25???

Sifagilii hata kidogo...Inabidi kwanza amalizane na kidalipo kabla ya kuanza mikasheshe ya mawifi na gubu la mama mkwe!!

Hongera sana lakini kama umekomaa ingawa wengine tunaona kuwa wewe bado nii kigori.....at 30yrs wenzio bado wana dreams za ajabu ajabu na wanajenga maghorofa yenye floor zaidi ya 100!!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
da!umenizidi siku 9 tu i see!

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu,

Sikujua kama na wewe snowhite bado unadai kiasi hicho...enzi zetu hapo mzee mzima angekuwa anasubiria trip zaidi ya 6 hivi za kwenda labour room kupiga mayowe!!

Halafu kuanzia leo ukisikia harufu ya Babu DC....hapo hapo piga magoti na kukata shikamoo kwa herufi kubwa!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahahahhahhahaha haya bwana babu Dark City
SHIKAMOO!nimepiga magoti ujue!
 
Last edited by a moderator:
Hongera Nyamayao kwa kutimiza hiyo miaka uliyofikisha, Mungu azidi kukupa heri na baraka tele
 
ahahhahahhahhahahahhaahhah babu basi utafunga wengi i see!wengine ndo kabisa sera ya KILIMO KWANZA tulianza kuitekeleza tukiwa na miaka 17
lol!
af kuolewa na miaka 22 !jamani!
 
Unasoma chechekea au masters??

Nani kakuficha nije nimchape? Hajui mie ni bodigadi?

Za siku?

 

Habari zimefika...
Happy Birthday Nyamayao... Mwenye enzi Mungu akupe maisha marefu na afya tele...

Yu wapi Madame B, cacico, gfsonwin na wakware wengine watoe ramani ya mahali lilipo CHIMBO kwa ajili ya usiku wa Nyamayao
 
Last edited by a moderator:
ahahhahahhahhahahahhaahhah babu basi utafunga wengi i see!wengine ndo kabisa sera ya KILIMO KWANZA tulianza kuitekeleza tukiwa na miaka 17
lol!
af kuolewa na miaka 22 !jamani!


Kudadeki........

Huo uharibifu ni zaidi ya environmental degradations aisee.....Itabidi tuujadili kwenye Rio de Janairo 3 hadi kieleweke...

Kwa nini watoto wadogo wanabebeshwa mizigo mizito hivyo??

Babu DC!!
 
Happy Birthday My Dada Mnoko! Mungu akubariki ufike japo miaka 25 na wewe uolewe ujue tamu ya ndoa.....

jamani hiyo keki wewe andika happy birthday to bila kanamba, hahaha (kidding)...30 yrs old my swir.
Eboh! kumbe bado mtoto hivi? Ushavunja ungo? Siku nyingine uwe unaniamkia kabla hujaquote posts zangu. Malabuku!!

da!umenizidi siku 9 tu i see!
Khee!! Hivi vitoto vinafanya nini huku JF? Si mwende shule mkasome???

Afadhali umewaambia mzee mwenzangu..... Hebu waambie hawa watoto wakakojoe wakalale bana.

Yaani siamini wakati wanazaliwa sisi ndio tunarudi Tanzania tokea kwenye vita Kampala. Iddi Amin hakuwa na hamu na sisi.
 
Hapo sasa umekuwa mjukuu mtiifu...ningekuwa Babu Asprin ningekuelekeza hatua inayofuata...

Ila kwa Babu DC, tumeishia hapo...Bwana awe nawe daima..lol!!

Babu DC!!
Hahahaha!

Hata mimi nimeishia hapo. Mvua ya miaka 30 jela si lelemama ati!

Ubakaji kwa watoto haukubaliki!!
 

Kwa hawa jamaa dizaini ya Nyamayao (Nyamayetu) na snowhite, hawakawii kukuuliza kwamba hiyo ndiyo model gani ya Vitz?

Ngoja sasa tujipange kuwalea hawa watoto na wajukuu....

Au mzee mwenzangu tujiengue kiutu uzima.....???

Hawa watoto tunaoshinda nao hapa, wengine hawajafikia hata umri wa kuwa wajukuu...may be vitukuu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Unavunja mbavu zangu mzee mwenzangu. Unataka kuniambia hata yale mabasi ya KAMATA na magari ya FORD hawajawahi kuyaona?? Wamshukuru Mwakyembe labda wataambulia kupanda Treni ya TRC, siku hizi TRL.Hebu muulize snowhite kama anajua cameo cinema ni wapi... Au New Chox LOL

Kiukweli hebu ongea na Mzee Mwanakijiji atufanye premium Members kwenye ile makitu yake. Hapa hawa watoto, sorry wajukuu hawachelewi kutuchungulia wakati tunanyoa naniliu kwa kisu manake wembe unadunda.....
 
Last edited by a moderator:
Happy Birthday Nyamayao. Mungu akuongezee miaka mingi zaidi na zaidi ya kuishi pamoja na afya njema daima pia akupe mafanikio, amani na baraka tele katika maisha yako yote. Hongera!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…