Asante sana Da Asha (@AshaDii),
Kusema kweli hizi week za hivi karibu zimekuwa mbaya sana...may be tutarejea home tumsalimie mtoto Nyamayetu!!
Babu DC!!
Pole sana kaka DC... Ni upepo tu ulikuwa unapita, nina Imani walau sasa utaona nafuu... I bliv u are well and good DC.
Yaani kumbe wewe bado kigoli kabisa......???
Siku zote nakupigiaga mahesabu ya kwamba unanusa nusa RED line kuelekea Siberia...
Kama ni kweli basi Msukuma atakiwa aongeze mbwa kwa ajili ya ulinzi..., mstue ili aje kwa Babu DC akapate puppy wa Germany Shephard...watamfaa sana huko mbele ya safari kwani njia bado ndeefu kishenzi!!
Babu DC!!
hahaa, nyamayao nae kigori? mama wa watoto watatu?...kabinti kangu ka kwanza 11 yrs(wa msukuma) kuna ukigori hapo kweli, hahaha, yap ndio ukweli huo...nov 6/1982.
Thanks Da Asha,
Greatly appreciated na ahsante kwa taarifa ya mtoto Nyamayetu...
Naamini maandalizi yakwenda vizuri ili tumwimbie wimbo leo...
Babu DC!!
da!umenizidi siku 9 tu i see!hahaa, nyamayao nae kigori? mama wa watoto watatu?...kabinti kangu ka kwanza 11 yrs(wa msukuma) kuna ukigori hapo kweli, hahaha, yap ndio ukweli huo...nov 6/1982.
Ile tabia yako ya utegezi hadi uone kinywaji chenye kilevi naomba leo usifanye hivo... Tumia fursa hii kumshawishi Nyamayao kurudi kila siku hata kama kaka Bigirita anamkorofisha... Lol.
hahaa, nyamayao nae kigori? mama wa watoto watatu?...kabinti kangu ka kwanza 11 yrs(wa msukuma) kuna ukigori hapo kweli, hahaha, yap ndio ukweli huo...nov 6/1982.
Hahahahahahahaha,
Ningekuwa mie, haki ya nani ningempa hakimu kitu kidogo ili amshughulikie msukuma kwa kupindisha kidogo SOSPA (sijui kama nimepatia)!!
Utakubalije mtu amwingize mtoto wako wa miaka 19 kwenye mambo mazito mazito ya MMU...That was unfair kwa kweli!!
Labda utwambia kama hapo umefanya discount kidogo ili tupige stories!!

Hebu hii famili bizinezi niachie asee....
Kama mahesabu ni sahihi, basi huyo msukuma mlete tumpe miaka yake 30...akakae na kina babu seya!
Mkuu Dark City, huyu jamaa ni wa segerea....:glasses-nerdy: