Happy birthday to me. Alaaa!

TANMO kalowekewa nguo na jimama sijui zitaanikwa lini.....
my sweet caramel.....mtu chake....yeye huwa tunaadhimisha kila siku.....

Black woman lete zile futuza tuweke hapa....sweetlady toa hii meza weka kule....wee Kabakabana yule DJ kasemaje..? Lily wapi mpishi...
Hahahaha! Masikini TANMO, kumbe ndio mana kapotea hivyo kumbe jimama kagoma kuanika nguo lol.... Bora uendelee kubanana na shemeji langu mtu chake...

Afu mbona maua hayajaletwa mpaka sahizi? Mjue tukizubaa hapa wageni waalikwa watakuja ukumbi bado haujapambwa... Lily F hebu fuata hayo maua upesi...
 
Hongera kwa kuikumbuka siku yako hii muhimu

Na hako ka Zaburi kanapendeza , kanakumbusha na kubariki, hasa mstari wa nne

Happybirthday to you
May the Living God Protect you all the days comming
 
Hahahaha! Masikini TANMO, kumbe ndio mana kapotea hivyo kumbe jimama kagoma kuanika nguo lol.... Bora uendelee kubanana na shemeji langu mtu chake...

Afu mbona maua hayajaletwa mpaka sahizi? Mjue tukizubaa hapa wageni waalikwa watakuja ukumbi bado haujapambwa... Lily F hebu fuata hayo maua upesi...

Swahiba mbona kimya kimya hivyo jamani??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom