Happy birthday TB Joshua - man of God

Happy birthday TB Joshua - man of God

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Wish u longer life ma DADY

Man of God

MUNGU AKUONGEZEE NGUVU KULIHUBIRI NENO LAKE

52Yrs
 
Jamani wanajf hamjambo ninaomba kama kuna mtaalamu anayejua tiba ya vidonda vya tumbo ni tatizo sana linanasumbua nimeshatumia madawa mbali mbali sijapata nafuu nisaidieni taf
 
Afrika Kusini wamempiga marufuku tapeli Joshua kukanyaga nchi yao, baada ya kuzika watu wao wapatao mia moja walioporomokewa na jengo la tapeli huyo, ambaye hakuweza kutabiri janga hilo. Wamebaki tu baadhi ya Watanzania ndiyo wanaoendelea kutapeliwa na tapeli huyu, kwa namna ileile wanavyotapeliwa kwa kuingizwa kwenye "safari ya matumaini" na Fisadi Papa wa TZ, kama vile wote wameathirika!!! Eti Man of God Joshua, huyu ni tapeli tu kama babu wa Loliondo.
 
Jamani wanajf hamjambo ninaomba kama kuna mtaalamu anayejua tiba ya vidonda vya tumbo ni tatizo sana linanasumbua nimeshatumia madawa mbali mbali sijapata nafuu nisaidieni taf

tumia fitelawa mkuu
 
Amesaidia sana kumbadili Mwigulu kwa kumtoa kwenye ujambazi
 
Jamani wanajf hamjambo ninaomba kama kuna mtaalamu anayejua tiba ya vidonda vya tumbo ni tatizo sana linanasumbua nimeshatumia madawa mbali mbali sijapata nafuu nisaidieni taf

Tumia holywater ya tb Joshua iko Benjamin nkapa tower yliza of is za tbjoshua
 
Happy birthday man of God, live longer stay sronger.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom