Me na mnuso mbalimbali wewe sema kuna maji gani huko...............BTW Hongera kwa kutimiza miaka 55 lol!
Bishanga amekopa benki kwa ajili ya hii siku.
Thanks a lot Jiwe Linaloishi......uje jioni tusherehekee pamoja mpendwa
Happy birthday to you sweetlady,... Utaweza fika makutano nikupe zawadi yako.? (ni ndogo lakini, si unajua mwisho wa mwezi umeisha juzi tu)
Hahahahaha miaka 55 ????? lolest.......mwanafunzi kikongwe kuliko mwalimu wake???...... Nashukuru sana platozoom......maji yapo ya kila aina wewe tu!
thanks my dear nielekeze ni wapi manake mji huu umekuwa na viwanja vitamu vingi mno kuna bonge la suprise nimekuandalia
Kipipi unipitie twende wote eeeeh
Elimu haina mwisho...........najua hata wewe unaweza kuwa mwalimu wangu kwenye jukwaa lileee chini kabisa
Make sure hauvai kisharo uharo, lasivyo tutaachana njia! Lol
nimetoka kwenye ukumbi.....upo tayari.....basi nikaoge.....tukutane ukumbini jamani......
Hawezi huyo, ujanja wake upo kanyigo tu! Btw, kuna dressing code hapo ukumbini au tunatinga hata pensi na makubazi!
Hahahaha pacha umesahau majungu ya Bishanga???....wewe mwenyewe wajua pacha wako nimetimiza miaka mingapi leo........yaani lulu kanizidi 4yrs lolIna maana SL amevuka malengo ya Milenia, basi Mhishimiwa Rahisi inabidi amtumie salam za Pongezi..
Nikifikisha hata nusu tu ya huo Umri wake lazima niitishe Boooooooooooooonge la Pati...
Manake hii dunia inavyozunguluka hata nashindwa kuielewa!
Sawa ntaanzusha na nauhakika nitakuwa na wafuasi wengi kama wewe na wameo(WAUME WAKO)Nenda kaanzishe jukwaa lako la salamu
Poa poa.....bye bye......usichelewe kufika ukumbini
See you
Sawa ntaanzusha na nauhakika nitakuwa na wafuasi wengi kama wewe na wameo(WAUME WAKO)
sasa naomba kadi