ni furaha iliyoje kusherehekea siku ya kuzaliwa mpendwa wetu sweetlady!
Happy birthday sweetlady,
Happy birthday sweetlady,
Happy birthday dear SL,
Happy birthday to you,
Many happy returns for you lovely SWEETLADY!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mke mwenza, heri ya siku ya kuzalika. Mie na wewe tutamalizana pembeni, naogopa watu wasipate wivu.
But wajua nakuchunuku kiaje. Ngoja wifi AshaDii aje kumalizia instructions za sherehe.
mimi nataka kujua mnuso wapi? hilo ndiyo la maana nikutakia nisikutakie mungu kasha kuongezea miaka mingine 50 usije ukasumbua wajukuu kukutoa juani kama Madame B..heri ya mwaka mpya sweetlady
mimi nataka kujua mnuso wapi? hilo ndiyo la maana nikutakia nisikutakie mungu kasha kuongezea miaka mingine 50 usije ukasumbua wajukuu kukutoa juani kama Madame B..heri ya mwaka mpya sweetlady