Happy Birthday Sosoliso........!!!

Usitatizike mshikaji wangu sosoliso, halafu mwenzio nina kipaji cha ajabu sana, tena cha hali ya juu, eti napenda kuona watu wakiachana na wa penzi wao. Natamani sana kuona mwaJ na Mwita Maranya wakiahana, wewe na Paloma mkiachana, halafu mi naishia tu kufurahia, wala sina time na wanawake zenu.
Mweeeh Bujibuji.. Kwanza ninashukuru kwa pongezi ila hii pic yako inanitatiza kidogo kama ilivyomtatiza ladyfurahia lol..

Halafu mie sio play boy... Nimekuwa sasa..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Happy Belated Kamanda sosoliso.

Mwenyezi Mungu azidi kukupa miaka mingi hapa Duniani ili uendelee kumtunza kwa upendo, amani na furaha bibie Paloma. Najua bila wewe bibie Paloma hali wala halali!!!:smile-big::smile-big::smile-big:
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:


laanakum kabisa wewe...........................
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…