Wewe pisi kali... Wish me birthday vizuri, proper...Ha ha haaaa...how?
Nipe muongozo
Angel Nylon nipeee...Anything for him you know!!ππππ
Mpeee narudia mpee tena na tenaaaπππ!
Hua anakubaka mara ngapi kwa siku?Eeendiwooo kibaka wangu!!
Bila mwongozo huwezi elewaaaa hii
THis is awesomeThe one and only miongozooooπππππ!!
Mutu yenye nyotra yakeeee πͺπͺπͺπͺ
Allah amjaalie afya njema na maisha marefu sweetsmartitoπππππ
Ngoja aje niione miongozo yake... Angel NylonNishamruhusu kitrambo love.. Akuwish vizuriiiiii na akupeee nakukupa zawadiii kama zawadiii tamtam ujipimie ujilambeeπππ
Eeendiwooo ndiwooooo!! Anything for you the one and only miongozooooAngel Nylon nipeee...
Hatari π€ͺπPombe nitampatia, kucheza mziki ashindwe yeye tu...
Jichunguze unakwama wapi ukiweza jiongeze upewe matamu zaidi ya hayo halafu punguza kuwakaziaTokea nizaliwe sijawahi kuandikiwa maneno matamu hivi.
Sema wewe utataka nini au utanipea nini...Hatari π€ͺπ
Kumbe mapenzi ya kweli yanaonyeshwa kwa lugha ya kikoloni!To my man my forever love a partner in crime.To the light of life my Prince Charming, To my soulmate my rock.
To my entire world the man of my dreams. You have always been my number one my favorite.
Happy birthday to my friend my best friend a best friend in deed! Tamu yangu ya muda woteππ I love you even more than I love football!β½π€
Wishing you a very happy birthday Sweetheart
Enjoy your day Kibaka wanguuuu πππ₯³πππ
Haswa! π.Kuitana ndo kupendana??
πππKumbe mapenzi ya kweli yanaonyeshwa kwa lugha ya kikoloni!
Eeh l love u even more than i love football....huu uwongo kabisaaaaa
Hakuna mpenzi wa mpira anaye mpenda mwenza wake kuliko football.
Mmhhh.. Mahondaw umuachie nani?Angel Nylon nipeee...