Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Asante zesh wangu
Asante zesh wangu
Hahahaha nimeshakaribia mpenzi wahenga oyeeeehHappy birthday Shunie
Welcome to the fourth floor![]()
Hahaahahha asante muhenga mwenzanguHappy birthday Mhenga mwenzangu Shunie,
Ameen dearNakupenda zaidi jamani dear!!
Mungu wetu sio kiziwi ashindwe kutujibu! Ni vile tuu hawahi wala hachelewi! Tuzidi kumtumainia dear!!
Miaka arobaini ndiwooo!


ubarikiwe mnoo Mungu wangu azidi kukuweka tu nakupenda mimi
Happy Born Day rafiki
Yo shall overcome
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo


Thank u JNtamuelekeza mbondei mmoja ako kwa ofisini yenu; akulete uje uchagueKitalu changu umenirusha eehh
Vijana wanaohitaji kulelewa Uzi wameuonaHahaahahha asante muhenga mwenzangu
Utaipata shunie knife; worry out kabisaThank mjeda ufanye ulete ile zawadi basi
Ebu ngoja kwanza hiko kitalu ni mimi au sakayo mbona mimi sio mlaini jamaniHuyu naye ningempatia zawadi ya kitalu chake tatizo ako mayai sana.
Mimi mwenyewe na uzee wangu nataka kulelewa silei mfugo wa binadamu mkuuVijana wanaohitaji kulelewa Uzi wameuona
Ndio maana nakupenda mimi mjedaUtaipata shunie knife; worry out kabisa
Naanzia wapi kuwa mlaini mimi jamaniHahahahaha
Eti wewe mlaini
Hahaaa! Haya mamaaMimi mwenyewe na uzee wangu nataka kulelewa silei mfugo wa binadamu mkuu