Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Mimi mwenyewe mzee wa miaka 40 hivi mbona umefutaHahahaha nani anasema we ni muzee ?
MTC | 101|![]()
We mzee unacheka tuHahahaha
MTC | 101|![]()
Uongo!!Mongo ni nini?



haina neno kama siku hizi uzee mtu anajitunuku tu basi hata mie kuanzia leo najitunuku uzee wa miaka 42.. 


tena hata hiyo naona kama hainitoshi ngoja kesho nitaongeza mingineWacha we!! Muite na yule mtoto mwenzio mjiongezee.Naona humu ndani kila mtu mzee wa miaka 40,,haina neno kama siku hizi uzee mtu anajitunuku tu basi hata mie kuanzia leo najitunuku uzee wa miaka 42..
tena hata hiyo naona kama hainitoshi ngoja kesho nitaongeza mingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni upi?Uongo!!
Wacha we!! Muite na yule mtoto mwenzio mjiongezee.
Haya.
Na yale majibu yake ya kukera.
Enheee ana majibu ya kukera ka yako vile,, yaani una majibu ya kukera we dada haujui tu ila nakupendaga hivyo hivyo eti..
Sent using Jamii Forums mobile app









