ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,493
- 119,282
Likizo tym! Tumechoka kukaa guest houses.Dah uzi upo speed sana, hebu ngoja kwanza nitarejea baadaye...
Likizo tym! Tumechoka kukaa guest houses.Dah uzi upo speed sana, hebu ngoja kwanza nitarejea baadaye...
Salio lako jipya ni TSh 861,356. Umetuma pesa kwa Wakala - DAT Investment, kiasi TSh 100,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: 27/12/19 14:49
Kama ulinidanganya namba ya wakala imekula mazima , Happy Birthday
MTC | 101|![]()

MmmhhhSalio lako jipya ni TSh 861,356. Umetuma pesa kwa Wakala - DAT Investment, kiasi TSh 100,000., Ada TSh 2,700. VAT TSh 412. Kumbukumbu No.: 27/12/19 14:49
Kama ulinidanganya namba ya wakala imekula mazima , Happy Birthday
MTC | 101|![]()
Ubarikiwe sana mdogo wangu...Tutakuwa tunasoma wote kaka
NdioKwani uko porini?!
Umenichekesha au niseme Nimecheka sana. Eda imeisha? Isiwe jamaa anavutia muda.Hahahah
Wewe huoni navyo chekacheka jamani
Kuna kazi napambana nayo hapaUnaenda wapi eti jamani![]()
...otherwise nisingeacha wewe hapa alone...