HahahaNjoo chukua
Hahah nani anataka kukaa siku mbili njiani...si nitakutana na boksi la keki tuHahhaha panda treni ukuje



basi tutaenda wote jamani dada
Kwa hiyo serious mnaniacha jamani..
Nitaambia nini watuu mimi jamani
Nina furaha sana mdogo wangu..Mbona unacheka eti jamani kaka
Nayaijia mwezi wa kwanza mimiMautani ya nini, niko serious jamanii! Njoo chukua
Sakayo umemuagaDah uzi upo speed sana, hebu ngoja kwanza nitarejea baadaye...
Niko makao makuu ufipa, ninakataa naanza maandamano. Ilà uzuri umesema "naweza" sio "ninakaa", kiswahili kitam sana.
Hahahahaha nimechekaHahah nani anataka kukaa siku mbili njiani...si nitakutana na boksi la keki tu
Hahahaha, nakutumia sasa hiviMbona hutumi jamani kila mda naangalia text zinazoingia

Hahahha lazima tuulize hata kama nimezeekaNaogopa mimi..
Unaanza masharti huku ushazeeka
That'd be so sweet, ilà vile no mdogo wangu atanionyesha


We mzee bwanaHahahaha, nakutumia sasa hivi
MTC | 101|![]()
Hahaha halafu mbona sasa umejikausha...narudisha kufuli mimiHahahahaha nimecheka