Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Kivuruge wangu mimi,kipenzi changu,ndugu yangu na rafiki yangu kipenzi uliyekuwa nami tangu siku ya kwanza naingia jf hadi leo,nakupenda sana tena zaidi ya sana na zaidi nakuombea kila la kheri katika maisha yako na mwenyezi mungu akutimizie kila hitaji la moyo wangu na akupueshe na mabaya ya dunia
Asante babe wangu, kivuruge wa kwangu tu mimi si unajua vile nakupenda babe Mungu wetu azidi kutuweka tu wapiii Tater #teamarosto#
 
Back
Top Bottom