Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,077
- 464,004
Eeenh heineken ngapiii kwanzaHahaaaahaaa hajiiiiii akija nidai heineken
Eeenh heineken ngapiii kwanzaHahaaaahaaa hajiiiiii akija nidai heineken
Asante mpenzi wanguHongera sana!!!
Hahaha hahahaHahahaaaa!!mapopooo
SawaaaEbu ngoja tumsubiri
We cheka tuu jamaniNimecheka kwa nguvu mm
Yupo Dar my dearShunie ananiambia kenda tanga etiii
HahhahahahaSawaaa
Nacheka jamani mm nacheka na mengiWe cheka tuu jamani
Haya basi, ngoja nitafanya mpango Kwa kabichi bichi humu.Ss sijui nani?Sina uchanga wowote jamani mm ni ajuza
Wacha weeeh dada akee shunieYupo Dar my dear
msemaji wangu mwenyewe woyooooo
Hahhahahah kama kucheza biko tu humu we piga ana ana doHaya basi, ngoja nitafanya mpango Kwa kabichi bichi humu.Ss sijui nani?
Mbona michache sana.Asante mzee wa Swaziland niko na 45 baba angu
Mmmh!me na tatu mzuka wapi na wapi?Halafu ujue humu hamnaga tubinti,hatuielewi jf isipokuwa IG.Hahhahahah kama kucheza biko tu humu we piga ana ana do
Mbona michache sana.
Nikajua 55








Mzee wa Swaziland nimecheka sana sikutegemea hili jibu
Ni kweli vibibi gagula sisi ig kweli hatuijui ujue tamuuuuuMmmh!me na tatu mzuka wapi na wapi?Halafu ujue humu hamnaga tubinti,hatuielewi jf isipokuwa IG.
Yani ni kweli.KE anayeielewa jf Kwanza lazima atakuwa na umri mkubwa na msomi.Ila vijivulana sie tunaielewa baadhi lakini.Wengine tunajadili vitu vya msingi na wengine ni full kuleta habari za wakina zari.Ni kweli vibibi gagula sisi ig kweli hatuijui ujue tamuuuuu