Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Happy Birthday Shunie!!!!!!!

Yani ni kweli.KE anayeielewa jf Kwanza lazima atakuwa na umri mkubwa na msomi.Ila vijivulana sie tunaielewa baadhi lakini.Wengine tunajadili vitu vya msingi na wengine ni full kuleta habari za wakina zari.
Hahahhaha nacheka kifwala mm yaani tamuuuuu ebu tuache na uzee wetu
 
Ndugu acha tu hapa kutoka humu mpk mjiniii....shughuli huku hata uber haifiki,daladala zenyewe tafrani acha wangu!!!maduka mwisho saa 3!!!!yaani tabu nnayo Mimi jomoniiii
Tatizo na wewe umeahamia shamba siku hizi
 
Ila unaonekana upo romantic ww.Uzuri wa ninyi aged wasafiii,halafu unapompa mtoto kama mie unampa Kwa roho Safi tu tena any time."shkamoo lakini"
kumbe giaaa...ya kuimbishaaa....jamaaani!
 
Back
Top Bottom