Hahahaaa. Lol.Wapi wameandika 54 yrs hata hivyo ni binti wa zamani
Husemi uongo hata. Upo sahihi kabisa.Au nasema uongo?
Kwa kweli Huna bayaa mtaniii, 😂😂😂Ahsante sana Mtani. 🙏
Sijui kwa lakini nimejikuta nacheka tu hiyo eti "huna baya" 🤣🤣
Abee Ely...
Niko poa kabisa Kipenzi..hofu kwako...Ahsante sana Mdogo wangu kipenzi.
Nakupenda pia japo harakati za kutafuta ugali zinatufanya tusionane kabisa yaani.
I hope uko poa.
Ahsante sana Mtani wangu. Tupo pamoja. 🤝Kwa kweli Huna bayaa mtaniii, 😂😂😂
Wee ishi sana tuu.
Amiin mdogo wangu. 🙏Niko poa kabisa Kipenzi..hofu kwako...
Inshallah Mungu atupe uzima tu...Tutaonana siku moja..
Anasahau haraka sana huyoHusemi uongo hata. Upo sahihi kabisa.
Japo huyo jamaa kaamua tu kucomplicate vitu vidogo. 🤣
Happy birthday love, all the best 😘😘😘Amiin InshAllah. Pia ahsante sana Wifi yangu kipenzi.
Mwenzio ndo naenda uzeeni hivyoo. 😃
Swadaktaaaa!! 🍰Ahsante sana Mtani wangu. Tupo pamoja. 🤝
Nipo mwananchi.... Now majukumuu yameongezekaThanks aisee. Rafiki wa kudumu.
Bila shaka uko poa.
Thanks a lot my dear. 🙏Happy birthday love, all the best 😘😘😘
Kawaida hiyo na kadri umri unavyosonga ndo hayaepukiki kabisa yaani.Nipo mwananchi.... Now majukumuu yameongezeka
Ila mdogo wangu umenisusa sana ujue.Miaka mingi kwako dada"♥️♥️