Baba NaahShunie atatangulia nayo
Asante mrembo!
NdiwoooNiweke..
EwaaaaaPole babu...ila wewe si mchepuko wa kudumu..![]()
Hahaha hahaha

Thank you my dear!Happy birthday to you![]()
Nakuja jamani wahenga kwa kufunga pm muhenga ww haujafunga eenh
Ninapozungumzia marafiki zangu wewe ni miongoni mwa marafiki zangu wa faida kabisa hata nikiwa na shida nikuamshe usiku wa manane lazima unisikilize pamoja na mm na kausumbufu jamani lakini unanivumilia kwa vyote.
Tuna uchizi mwingi unaofanana![]()
Asante sana jf kwa kunikutanisha na sakayo wangu amekuwa zaidi ya rafiki kwangu tumekuwa zaidi ya ndugu
Happy birthday sakayo wangu kaziwanda ka mama....Mungu wangu azidi kukuweka tu na kukulinda na akufunike kwa Damu ya Yesu, akubariki katika biashara zako na kazi yako na familia yako
Nakupenda tu mimi leo, kesho na milele
MITHALI 14:1-2 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba, Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe, yeye aendaye kwa unyofu wake humcha Bwana bali aliye mkaidi ktk njia zake humdharau
View attachment 1124133
Yaaaaap 27So nawewe ni among of them Geniuses? Give me your born date
Genius are born on this month.....Happy birthday to you my lovely sister....I wish for you all the best
Cc: Sakayo Da'Vinci Mshana Jr Ambiele Kiviele Beberu Mwitu teledam Clkey