Happy Birthday Rev Masa.....

Happy Birthday Baba Mchungaji, Mama Mchungaji aksante kwa mwaliko. Nije saa ngapi maana nina aleji na vitunguu swaumu so jikoni siingii!
 
Amy sio kabla. . . Ni siku ya Vale.
Sema nimewahisha kwasababu kesho sitokua na nafasi.

wooow!! Dah natamani ningekuwa mimi ndo bday yangu ... So kesho celebration dabo dabo lizzy...?
 
Rev. je mvinyo utakuwepo mkuu. huo tuliambiwa tuendelee kunywa hadi atakaporejea.
 
Heri ya kuzaliwa baba mchungaji . Nafikiri ni wakati wa kupandishwa cheo na kuwa bishop . Mungu akupe maisha marefu .
 
Una miaka minngapi we kibabu?? HBD

birthday-micky.gif
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom