Happy Birthday Rev Masa.....

Happy birthday baba Mchungaji, mungu akupe maisha marefu yaliyojaa furaha, amani na upendo!..

Nje ya mada: kondoo anasikitika kuachwa nyikani na mchungaji.
 
images

Mungu na akupatie maisha marefu na yenye furaha tele Baba Mchungaji!!!
 
Happy birthday baba Mchungaji, mungu akupe maisha marefu yaliyojaa furaha, amani na upendo!..

Nje ya mada: kondoo anasikitika kuachwa nyikani na mchungaji.

SL nashukuru sana!

Bana wewe ulikimbilia msitu mkubwa wa Nyika Mchungaji hawezi pita huko..Salama lakini?
 
SL nashukuru sana!

Bana wewe ulikimbilia msitu mkubwa wa Nyika Mchungaji hawezi pita huko..Salama lakini?
Salama kabisa baba mchungaji!....sasa unamwacha kondoo apotelee nyikani?.....haya bana! Ngoja kondoo ajitahidi kufyeka msitu peke ake mpaka atokezee mahali alipo mchungaji!....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom