happy birthday mchungaji.
Ila chesii aliniboa, we lov u.
Mimi kama mke mpya wa ODM, naandaa dhifa hapa kwetu.
Fungu langu la kumi inakuwaje sasa....Oooohhh yaaaah asanteni wote! Im getting older and older, wise and wise
Mubarikiwe nyote na muumba
Fungu langu la kumi inakuwaje sasa....
Amy sio kabla. . . Ni siku ya Vale.
Sema nimewahisha kwasababu kesho sitokua na nafasi.
ndoa za jf raha hakuna cha talaka wala nini yaani ukichoka tu unabadilisha mume.kwa iyo michelle yuko peke yake na boss,sindio?