Happy birthday rais mzee mugabe..................

Happy birthday rais mzee mugabe..................

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956

130311150938_mugabe__mkewe_keki_976x549_bbc_nocredit.jpg
Rais mkongwe zaidi barani Afrika, Robert Mugabe wa Zimbabwe akila keki wakati wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwake. Ana miaka 89. Kando yake ni mkewe Grace. Mugabe anataka kuendelea kuongoza baada ya miaka 33 mamlakani.


Babu waachie Vijana Washike Madaraka!!!!! Unataka kufia ndani ya Madaraka aibu sana.


 
Hii ni Africa bana Babu bado anadai anaweza kuongoza kw akipindi kingine kirefu zaidi na wala hana matatizo
ukipiga mahesabu hiyo birthday yake imegharimu pesa kibao wakati Zimbabwe ina hali mbaya
 
Back
Top Bottom