Pasco .....
Mzee wa refugee law.na rafikiyo Mpandi.....
hv a long life my brother....
kuna angle uliwahi nisaidia bila ww kujua
mpaka leo nimegain momentum....
Mungu akubariki sana
Happy birthday mkuu Pasco moja ya watu ninaowakubali kwa maarifa wanayotoa toka kitambo sana hapa jf ,ingawa kuna kenge wapo humu wanamvunjia heshima wananikera Sana.