Nilisahau babu. Happy birthday twin wangu.Kumbe hukumbuki babu naye ya kwake leo? Amenituma nikueleze anavyokumiss. Nduki
Sijaelewa dear ila acha niseme asanteFeliz cumpleaños señorita..!!![]()


Asante mpenziHappy birthday to you mrembo wangu. Mungu akujaalie kheri na baraka..
Sakayo loves you
Asante kipenziiHappy Birthday kabinti kazuri Mzigua90
Asante wifiHappy birthday Mama Li
Singapore visa kuprocess ndo shida.Dada mzuri nipo Singapore fika huku nikutwange na mizawadi ya hapibesdei tuyuuu
Asante mkuuHappy born day Mzigua90
Asante wifi shangaziHappy birthday WiFi ake
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mzigua90
happy birthday binti wa tanga be blessed Mzigua90
happy birthday Mzigua90 more lifee.
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzimie na wewe tunajuana wenyewe
nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.
Happy birthday mama Linitarudi acha niendelee na lindo babe.
Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa



unamarafiki wengi bibie😂😂😂Sijaelewa dear ila acha niseme asanteAsante mpenziAsante kipenziiAsante wifiSingapore visa kuprocess ndo shida.
Ungetuma tu na weweAsante mkuuAsante wifi shangazi
Anhaaa.. lugha hizi si unajua
Nimemaanisha 'Happy Birthday Lady',..!!




Anhaaa.. lugha hizi si unajua![]()