Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,671
Happy birthday Mzigua..uishi miaka 100000....
Amen mkuuHappy birthday kwako, Mungu akupe maisha marefu zaidi na si marefu tu bali yenye furaha na amani.
Miaka mingi sana ila sijaolewa nina mtoto very handsomeKafikisha miaka mingapi huyu?Ameolewa?Ana mtoto?Ni beautiful?
'kaka yake na Demiss hapa'
Lol.. sijafika huko bado mkuuThru her writing atakua ameingiza 33&34


Asante kaka mzuri.. leo napita mkoa wako. Zawadi napokea kwenye ile nambaHappy bdy kwake Dada mzuri





Asante mkuuHappy birthday mzigua....
Many years to you.
Thank you bebe
Asante mkwe wangu..Happy bday mkwe wa ukweli mzuri mzuri uishi miaka mingii...msiniache kwenye mishikaki@shunie





. Mishkaki inabidi tupangeHeri ya kuzaliwa mdada, nikutakie mafanikio mema kwa miaka mingine utakayopewa na Mungu na daima udumu kumtegemea yeye pekee
Happy birthday lady
Asanteni wakuuHii avatary yake ya sasa imebadili fikra zangu kwake namna alivyo.
Happy birthday kwako. Miaka yote ya furaha na aman ujaaliwe.
Cc Mzigua90
Wishing all the smiles
and Happy moments
that your deserve
on your special day!
Happy birthday to you!
Asante darlingsMungu akutimizie hitaji jema moyoni mwako HB to u
Mchumba unazeeka vibaya. Shunie katokea wapi sasa?
Asante mke mwenzangu.Happy birthday mrembo