Cake tunakata Dodoma mkweNasubiri keki
Acha tuu. Hii heniova sijui nasafiri nayo vipiNaona ndio unafufuka
Happy birthday wakunyumba wangu, rafiki yangu kipenzimie na wewe tunajuana wenyewe
nakuombea kwa Mungu akupe kila hitaji lako la moyo litimie kwa wakati.. Akuepushe na husda za walimwengu.
Happy birthday mama Linitarudi acha niendelee na lindo babe.
Tukikutana maeneo yetu ya kujidai niko na bucket yako hapa
Ni wivu tuu!Asante mkuu Wananiambia eti sina chura
Asante mkuuHeri ya siku ya kuzaliwa mwanamke wa kizigua
Yaani huu umri uliofika sasa mtu akioa anaoa MKE kweli.
Na mm pia Don
Mchumba unazeeka vibaya. Shunie katokea wapi sasa?
Nakuzeesha tu khaa.Lol.. sijafika huko bado mkuu![]()
Kumbe hukumbuki babu naye ya kwake leo? Amenituma nikueleze anavyokumiss. NdukiHahahahahhaaaa.. Asante mkuu. Babu jela leo napokea zawadi kupitia wakala lakini
Na mie jamaniHappy bday mkwe wa ukweli mzuri mzuri uishi miaka mingii...msiniache kwenye mishikaki@shunie