Happy birthday my son franklin

Happy birthday my son franklin

Mary Chuwa

Senior Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
177
Reaction score
40
Nampongeza mwanangu Franklin kwa kutimiza miaka miwili.
Mungu akulinde na kukutunza,maisha yako yawe ya mafanikio,baraka na amani.
Your Mumy
Mary C
Mekelle-Tigray State
Ethiopia
 
naungana na wewe kumpongeza mwanao katika birthday yake
Happy Birthday Frankin god bless u always
 
Wishing your son happy birthday too.

May God give him happy life all the time.
 
Hongera nyingi kwa kijana, mungu amjalie afya njema.
Hongera na wewe kwa malezi
 
Mungu mwenyewe amkuze, aengezeke kimo, maarifa na hekima, happy birthday Franklin!
 
Happy b.day to franklyn.
Be good.
Mom loves you.
 
...Happy Birthday to youu x 2
...Happy Birthday Dear Franklin,
...Happy Birthday to Youuu,

...You are two years Old now x 2
... You are two years old dear Franklin
.... Happy Birthday yo Youuuu.........................And May You Live to Blow 110 Candles!
 
Nampongeza mwanangu Franklin kwa kutimiza miaka miwili.
Mungu akulinde na kukutunza,maisha yako yawe ya mafanikio,baraka na amani.
Your Mumy
Mary C
Mekelle-Tigray State
Ethiopia





hongera sana mary kwa kulea Mungu amlinde na mabaya yote ya ulimwengu huu!!
 
Happy Birthday Franklin

Na waliokosea spelling za jina lako kwa niaba yako na ya mama nawaomba warekebishe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom