Happy Birthday Mwita25

Siku yake ya Muhimu= special day of him.

yani wewe kumbe ni kijana mdogo kabisa lakini akili zako hata butiku ana kushinda.. sijui hata unawazaga nini..huyo mkeo anashida.. bila shaka ni FF.,.. haya kila la kheri lakini kwa ufaham wangu mdogo watu waliozaliwa mwezi wa 9 ni wakimya sana nakushanga\!!!!!

HAPPY BIRTHDAY nnauye

Thank God nimejua umezaliwa tarehe ngapi,happy birthday.Mungu akujalie hekima,busara,ufahamu,akili na maarifa,maana bila hivi maisha yako yatakuwa tabu tupu,

Umetibua siku yangu tu, kama masaburi yako leo hayana cha kuwaza si ungepiga kimya. Majitu mengine naona yamezaliwa kuharibu sherehe za wenzao tu

Thank God nimejua umezaliwa tarehe ngapi,happy birthday.Mungu akujalie hekima,busara,ufahamu,akili na maarifa,maana bila hivi maisha yako yatakuwa tabu tupu,

Asante sana

Ok Mkuu,
Sore kwamba imekusumbua kuelewa, however dhumuni kubwa ni HAPPY BIRTHDAY TO YOU.

Asante mkuu ingawa sehemu nyingine za kadi ya kadi yako hata sijaelewa. Smell like a monkey, sijui nini na nini. Duuh

Rest in Peace

Umetibua siku yangu tu, kama masaburi yako leo hayana cha kuwaza si ungepiga kimya. Majitu mengine naona yamezaliwa kuharibu sherehe za wenzao tu

ha ha haha ukweli unauma... wala sikuombi radhi..

Ama kweli umethibitisha kwamba kwako "age ain't nothing......................."!!

Sasa unasherehekea nini kama akili yako haikui??

Umetibua siku yangu tu, kama masaburi yako leo hayana cha kuwaza si ungepiga kimya. Majitu mengine naona yamezaliwa kuharibu sherehe za wenzao tu

minyoo imekuingilia ubongoni eeeh?

Asante, lakini utambue kuwa kwa post hii tayari umeshaingia kwenye list yangu ya watu mapunguani kuliko wote kuwahi kuishi duniani.

Ama kweli umethibitisha kwamba kwako "age ain't nothing......................."!!

Sasa unasherehekea nini kama akili yako haikui??

Akili yangu inakua lakini haikui ili ivumilie upuuzi

The self named "Magnetic JF Superstar" has so astoundingly made me proud of him that as much as a good number do not understand him… at the end of the day he too was born and remembers and apparently celebrates Birthdays… and on acme of that, a Proud family man at age 33 (contrary to the majority who abhor/fear the institution) he seems to be proud of his wife… that says a lot about him… that all the posts I have come across, let alone the bunters we have shared thou few… do not come close... Regards to your wife....

:clap2:...Wish you a HAPPY BANGING BIRTHDAY…:clap2:

Thanks AshaDii, I appreciate.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…