Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,421
- 166,831
Leo kimenuka..hata hii sherehe iishie hapahapa..Kumbe my dady ana mtoto wa nje? gfsonwin??? dady come zis wey plzzz nahitaji maelezo..au gfsonwin ndo mtoto wa mwaJ ??Happy Birthday Mwita Maranya a.k.a baba yake mchumba wangu gfsonwin na mpendwa wangu wa moyo Zion Daughter.Tunakutakia Mwita Maranya maisha marefu na yenye furaha, uendelee kukua huku ukimpendeza Mungu na wanadamu pia.Ukawe na hekima zaidi ya ulizo nazo, ili hekima na busara zako zitumike kama gongo kwenye maporomoko, na tochi kwenye giza totoro.Uishi miaka mingi mpaka ukitema mate yawe yanadunda kama kitenesi, na ukifunga macho kope zilie kama mtu kapiga makofi kwa ukubwa wa umri na ukomavu wako
We ndetichia acha ulaku! Hiyo ni kwaajili ya kamanda Mwita Maranya tu.hii bottle mimate ishanijaaa duu..
Happy Birthday Mwita Maranya a.k.a baba yake mchumba wangu gfsonwin na mpendwa wangu wa moyo Zion Daughter.
Tunakutakia Mwita Maranya maisha marefu na yenye furaha, uendelee kukua huku ukimpendeza Mungu na wanadamu pia.
Ukawe na hekima zaidi ya ulizo nazo, ili hekima na busara zako zitumike kama gongo kwenye maporomoko, na tochi kwenye giza totoro.
Uishi miaka mingi mpaka ukitema mate yawe yanadunda kama kitenesi, na ukifunga macho kope zilie kama mtu kapiga makofi kwa ukubwa wa umri na ukomavu wako