Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Happy birthday bro! Allah akujaalie umri mrefu wenye kheri na baraka kwako, akujaalie fikra, yakinifu ya kuweza kupambanua mabaya na mema, akujaalie kizazi chema na yote yaliyo mema kwako na akuepushe na yote yenye shari nawe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom