carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Huu sasa ni uchonganishi..... Yaani kukutania tu ndio umekuja mbiombio kunisemea kwa babi boi wetu?



moyo wauma ujue?Yaa i mimi najipanga huko kumbe kuna mtu anabebisha humu


Huu sasa ni uchonganishi..... Yaani kukutania tu ndio umekuja mbiombio kunisemea kwa babi boi wetu?



moyo wauma ujue?

Jirani mtekaji,mambo
Nakusabahi swahiba yangu! Kichwa Kichafu na jje's hawajambo?![]()

Sijambo swahiba
Kichwa Kichafu alinitelekeza pasaka sijamwona ila itakuwa kajiteka kwa jje's
Besidei boi akija mwambie bado yuko kwenye rada yangu![]()

Hahahahahaaaaa![]()
![]()
Rafiki, nimeamini kumbe wewe ni fungu la kukosa kama mimi tu....huyu 'basidei boi' ana my wake hapa. Hiyo rada yako bora uizime tu
![]()
Shukrani sana mkuuHbd Mwifwa, live longer mkaka
Mwakani mwezi wa piliHivi ya kwako itakuwa lini vile?
Ahsante saa mkuu Malcom LumumbaHappy Birthday mkuu.!
Ahsante saa mkuu.Hongera ya kuzaliwa, tunataka keki