Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,053
- 110,655
Dahhh.......Bahati ya mwenzio huwezi kuilalia mlango wazi.
Kila mmoja ana bahati yake ambazo zinatofautiana
Sikutarajia kama nawewe ariff unaweza niharibia kwa huyu mbuzi ninae muona anaelekea kibla karibu na kumpika supu.... tehteehhh