Happy Birthday Mwifwa!

Happy Birthday Mwifwa!

Mbaya zaidi ni kuja kufa ukingali na utamu wako, wakati wao hawataki kujibu PM zetu.... tehteehhh
Naomba mniambie besidei zenu ili siku ikifika niwatoe kimasomaso

Mzee tuna nuksi utadhani tumezaliwa njia panda.
Yani zile nazi wanazo vunja utadhani zimepasukia kwenye miili yetu. Lol.
 
Happy birthday Mwifwa, Mungu akujaalie umri mrefu rafiki ukapate kumjua na kumtukuza yeye tuu akakuongezee hekima na maarifa tele kwa kila siku iitwayo leo.

Hiki kidogo chetu kipokee kwa mikono miwili ukapate kufurahi na familia yako.
View attachment 734057
Jamani nimewaham sana rafiki zangu!
Muwapendao hawajambo?
sitaki kuwa wa mwisho kabisaaaa
Happy born day mkuu Mwifwa. Mungu akupe miaka mingi ya amani na furaha.
cheers
 
Jamani nimewaham sana rafiki zangu!
Muwapendao hawajambo?
Haswaaa, kwangu nimpendae ndo kwanza anazidi kufurahia maana na hii baridi mambo yanaenda vizuri kabisaaa.
Nimekuhamu pia. ile mida yetu nimejiuzulu kwa muda maana naona duuuh majukumu yanazidi
 
Haswaaa, kwangu nimpendae ndo kwanza anazidi kufurahia maana na hii baridi mambo yanaenda vizuri kabisaaa.
Nimekuhamu pia. ila mida nimejiuzulu kwa muda maana naona duuuh majukumu yanazidi
Wacha weee hongereni mwaya. Naomba muongeze juhudi ili mwakani majira kama haya tusherehekee besidei ya katoto kenu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom