Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,044
- 110,574
Niamini tu maana naona kabisa mbuzi kafia kwa Muuza supu.... tehteehhh, kule nipo kwa Ile I'd nyingine ambayo haijulikani....Mmmh! Sikuamini maana sijakuona kabisa kule kwenye uzi wa kispanyola, isijekuwa unaniambia kindengereko bure [emoji12] [emoji12] [emoji12]