Happy birthday mtume (S.A.W)

Happy birthday mtume (S.A.W)

attachment.php

HII NI BIRIANI NIME I MISS SANA UDENDA UNANITOKA

So what? Serious! Check out, you might likely be be facing binge eating disorder
 
Hahaha, mmenikumbusha wimbo tulikuwa tunawatania ndugu zetu ambao ni waislamu.
'maulidi bila.waaali mtume hatawadiaaa'. I wish niweke clip nikiuimba ila paw siku hizi ana wivu kama nyoka!

Kwa hiyo MziziMkavu, ina maana kahtaan ni sheikh ubwabwa? farkhina.
 
Last edited by a moderator:
ayaaaaaaaa......nshakosa
siifahamu, nifahamishe tafadhali

Iko hivi...

Jamaa 2 walipata wazo la kuanzisha kufuga kuku wa mayai...
Basi wakapanga mmoja ataokota mayai mmoja atafagia banda..kila mmoja anang'ang'ania kuokota mayai hadi ngumi zikaruka...ilhali hata hao kuku hawana lol

Ndio mimi namwita huyo mkwe mtoto wenyewe sina hahaha

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahaha
Unamuandalia mazingira
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom