Happy Birthday Mtakatifu Paka Mweusi....

Happy Birthday Mtakatifu Paka Mweusi....

1315917-bigthumbnail.jpg

Asante kwa zawadi mama mkubwa....
 
Katika jambo ambalo ningeomba litekelezwe kama ningepewa wasaa huo na mwenyezi Mungu, basi ningeomba anirudishe japo miaka 25 nyuma maana naona kila birthday Mtakatifu anazidi kuzeeka....Ila sina jinsi zaidi ya kusema Happy Birthday to me.....

Happy birthday St. Paka Mweusi. MUNGU akupe maisha ya Amani, Furaha na Baraka tele
 
Last edited by a moderator:
Sawa nimekusikia bebi ila siku tutakapoonana nikikuita bebi usiniruke tu.....

Hahahahaaaaa loh nimeinunua kesi kwa bei ya kutupa. Mwaya nakutania mie niite mama tu mwaya. Mana ukijakutana name hata hiyo bebi utapata kigugumizi kuitamka maana mh........... bora tuishiage tu kwenye screen
 
Sawa nimekusikia mama,ila du ulipoweka hiyo proposal ya jina mbadala nikasikia kama vile roho inataka kunitoka na nikajiswali mengi tu.....
 
Kama hivyo sawa hah....naona kibao kimegeuka badala ya mama mie kutoa zawadi kwa birthday boy, ye ndo anataka kutoa offer hahaha....................

Nilizisubiri hizo offer mpaka nimechoka mama, nimeamua nitoe mwenyewe tu ,watu hata advance hawakutoa...hahahahahahah..............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom