kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,621
Kwanza am very sad namna maxshimba alivyokua busy kuuongelea vibaya uislam sidhani kama hata ni mtanzania mwenzetu huyu bwana maana watanzania kama watanzania tumekua tukiishi wakristo na waislam bila chuki kama za huyu jamaa anzozionesha sijui sasa wote tukiamua kuanza kuongelea kwa ubaya na kejeli dini ze wenzetu kama patatosha hapa kwanza bible anayoiongelea sijui niipe naomba mr. Max hebu soma waraka wa yoshua bin sira ndio uje na hizo hoja zako za bible
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Huyu ndugu yangu sio mtanzania kabisa!
Huyu ni mkongo! Wameshazoea kuuwana kwao! Itabidi ujichunge nae sana.