Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,437
- 4,829
Hakunaga hizi tunaponda viazi tu huku
Mmmmh...haya vizuri sana bibie
Hakunaga hizi tunaponda viazi tu huku
Leo tarehe 20 November!
Ni siku ya furaha sana sana!
Mpenzi wa moyo wangu shansarie anatimiza miaka kadhaa..
Honey!
Umepitia mengi katika haya maisha ya duniani, nakupongeza sana kwa kuyakabili magumu yote na kuzidi kusonga mbele.
Mungu awe na wewe siku zote..
Happy birthday to you.
I LOVE YOU SO MUCH!!
Copy kwa ndugu na marafiki zangu wote wa JF.
few to mention..
Baba V, Mamndenyi, Arushaone, watu8 & ur wife, Ablessed, Madame B, Heaven on Earth, mwallu, DEMBA, KOKUTONA, The secretary, Mr Rocky, Lady doctor, Erickb52, Chocs, Mwanyasi, Judgement, Paloma, sosoliso, Slave(naamini umeshapona) Mtoto halali na hela, THE BIG SHOW, Sizinga, MMAHE, mwungwana, farkhina, Mzee, kabanga, 24hrs, figganigga, gfsonwin, Ritz Filipo, PakaJimmy, Mzee wa Rula, Smile, Kaizer, ladyfurahia, Asprin, LiverpoolFC, Preta, scorpion girl, tinna cute, miss chagga, Ladymasa, amu Arabela, SHIEKA, mshana jr & ur wife angel, CHAMInglady, Passion Lady, Ruttashobolwa....
Ni furaha iliyoje kujua shansarie anashare birth date na mwanangu kipenzi Matesha......
Kuanzia leo shansaria ni mwanangu (Sitakutongoza tena mwanangu) Na kiwatengu ni mkwe wangu, fanya hima ukakatwe mkono sweta tafazali.
Habari hizi zimfikie mkwe mstaafu Fixed Point popote pale alipo.

habari zimefika mkwe....Ni furaha iliyoje kujua shansarie anashare birth date na mwanangu kipenzi Matesha......
Kuanzia leo shansaria ni mwanangu (Sitakutongoza tena mwanangu) Na kiwatengu ni mkwe wangu, fanya hima ukakatwe mkono sweta tafazali.
Habari hizi zimfikie mkwe mstaafu Fixed Point popote pale alipo.
Sasa Mamndenyi hapa kaingiaje? Si heri ungemCC Heaven on Earth labda anaweza nifikiria kwenye matongozo yangu kama nlokuwa namtongoza sansharie wako??

Kwa taarifa yako Mamndenyi kishaingia kwenye payroll ya buku 7 kitaa cha Lumumba pale.
Ni furaha iliyoje kujua shansarie anashare birth date na mwanangu kipenzi Matesha......
Kuanzia leo shansaria ni mwanangu (Sitakutongoza tena mwanangu) Na kiwatengu ni mkwe wangu, fanya hima ukakatwe mkono sweta tafazali.
Habari hizi zimfikie mkwe mstaafu Fixed Point popote pale alipo.
Mamndenyi ni mkwe wangu sio mbaya wakwe mkiteta kidogoSasa Mamndenyi hapa kaingiaje? Si heri ungemCC Heaven on Earth labda anaweza nifikiria kwenye matongozo yangu kama nlokuwa namtongoza sansharie wako??