Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
asante sana shemeji yangu wa ukweli! Ubarikiwe sana..
amina!!!
asante sana shemeji yangu wa ukweli! Ubarikiwe sana..
Khah jamani
Kwani huko likolombe hakunaga!!
asante sana ulikuwa wapi best
hope atakuachia soon upumueBest kaisari alinikamata vibayaa acha...na bado anatumia muda wangu woote, sipunziki hadi usiku saaana.
All in alo niko powa, nawamiss sana sana yani
I do hope too...usiku mwema mammy
Kama ni yeye hakuna shida
Huwa ni refa!!
samahani! hukuniambia kama ni siri..
hahahaaa...... Halafu katika mechi zote sijaona ukifunga ni wewe tu ndo unafungwa, why???????