Nawashukuru wote mlionitakia baraka ktk siku yangu ya kuzaliwa hakika mmefanya siku yangu kuwa nzuri na yenye maana sana na yenye kupendeza.
Kwa niaba ya familia ya mr kiwatengu mbarikiwe sanAaaaaaaa kwa wishes zoote mlizonipa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.